TEMEKE MUNICIPAL COUNCIL
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam (aliyeweka mikono mfukoni), Mhe. Said Meck Sadick akisikiliza malalamiko ya mkazi wa Makangarawe mara alipofanya ziara ya ukaguzi wa soko la Makangarawe
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Said Meck Sadick(wa pili kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Sofia Mjema wakiongea na mchuuzi wa Mboga mboga walipotembelea soko la Buza
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Said Meck Sadick(wa pili kulia) akikagua miundo mbinu ya Soko la Buza.
Diwani wa Kata ya Mbagala Mhe. Agrey Kayombo(Aliyevaa Kanzu kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Said Meck Sadick na wajumbe mbalimbali waliokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa akiwemo Mkuu wa Wilaya Mhe. Sofia Mjema (wa tatu kulia) kuhusiana na ukosefu wa Wafanya biashara katika soko la Mangaya.
Wakazi wa Mbagala wakiangalia eneo la Zackem ambalo wanatarajia kugawiwa kwa ajili ya kufanya biashara nyakati za jioni.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Said Meck Sadick akiongea na wakazi wa Mbande Kata ya Chamazi na kuwaasa kuacha kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi na kuamia eneo la soko la Kisewe.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mhe. Said Meck Sadick akihutubia mkutano
Afisa Uhusiano Bibi joyc Msumba akiongea na waandishi, Habari maelezo . kushoto ni afisa Afya William muhemu na kulia ni afisa mazingira Bw. E. Mamuya
Jengo la Maabara sekondari ya Changanyikeni
Jengo la Maabara sekondari ya Nguva manispaa ya Temeke
Maabara Sekondari ya Nguva katika maandalizi
Mafuriko Mtaa wa Kichemchem Kata ya Mbagala Kuu
Operesheni safisha Manispaa ya Temeke kata ya Mbagala
Umaliziaji wa maabara Sekondari ya Changanyikeni
Welcome to Temeke municipal website, where you will find all the basic and current information you need, such as development plans and its implementation carried out each year. These developments are results and efforts of Councilors, Staffs, Community and other Stakeholders through the adaptation of participatory planning methodologies and existence of strong community collaboration, which together brings the good impact to Temeke residents.

INVESTMENT OPPORTUNITIES
Temeke Municipal council,invites interested companies,groups,individuals to invest in various investment areas at Temeke.
WASTE MANAGEMENT
It is estimated that 1,035 metric tones of solid wastes are produced in Temeke Municipality per day.
AGRICULTURAL ACTIVITIES
Agriculture and livestock sector contribute significantly to Municipal economy, about 13% of population is engaged in agriculture and livestock production.
HIV/AIDS PROGRAMME
Care and treatment services is given to PLHA where by home based care services are rendered in collaboration with various partners and stakeholders.
CULTURAL ACTIVITIES
Temeke's Social fabric charm is the prime attraction for cultural and eco-tourism, there are Local attraction site, beaches, and zoo for leisure and recreation at Temeke Municipality.
POPULATION
According to 2012 census, there were 1,368,881 inhabitants, of whom 669,056 were male and 699,825 female with an estimated growth rate of 6.6% per year.
LATEST NEWS
CALENDER
Copyright © 2005-2012 TMC All rights reserved
Designed by SURA